VIDEO: Musukumu Awalipua Wapinzani Bungeni ''Tukiwaita Vilaza Mnatuzomea''


Mbunge wa Geita Vijijini CCM, amemtaka waziri wa Fedha na mipango kufanya kazi kubwa sana, na asisikilize kelele za wapinzani kwani kazi yake  na mipango  inaonekana, pia amewataka wapinzani waache kulalamika bali wawa elimishe wanachama wao hawajui kujaza fomu.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad