Mwakinyo Ampiga Mfilipino Kwa Point...Aonyesha Kiwango Kidogo


Pambano la Raundi 10 limemalizika, ushindi ukienda kwa Mtanzania Hassan Mwakinyo akimpiga Arnel Tinampay kutoka nchini Ufilipino kwa pointi.

MATOKEO: Jaji wa kwanza amtoa 97-93 , Jaji wa pili akatoa 98-92 na Jaji wa tatu akatoa 96-96.

Pamoja na kumpiga lakini wengi wamelalamikia kiwango kidogo alichoonyesha Mwakinyo kwani muda mwingi alikuwa akijihami badala ya kurusha mashambulizi

Weka maoni yako hapa.


Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad