Mwanaume Ahukumiwa Kwa Kumlisha Mtoto Wake Dawa ya Kulevya Aina ya Cocaine



Mwanaume ambaye ni Baba wa Mtoto wa miaka 5 amefungwa jela kwa hatia ya kumlisha Mtoto huyo #DawaZaKulevya huko Marekani
-
Mtoto huyo alikutwa na dawa hizo kwenye mifuko wake wa daftari. Mwalimu alipomuuliza alimwambia kuwa Baba yake humpa 'Cocaine' ili ajisikie kama 'Spiderman'
-
Uongozi wa Shule uliwataarifu Polisi waliomkamata Mzazi na kumfungulia mashtaka
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad