"Najua nilikukosea samahani sana ila naomba umuache huyo mwanamke, amin nitamlea mtoto wako kama wakwangu kumbuka unafahamika mbaka nyumbani familia yangu inanicheka kwa nilichokifanya"Huyu mwanamke ninaeshi nae kaona hiyo massage kwenye simu yangu kaniambia kama nampenda nimsamehe yeye yuko radhi kuondoka....
Ukweli nilimpendaga sana alivyoniachaga nilipata hadi vidonda vya tumbo, niliposikia ameolewa ndo hata kazini nikawa siendi nikaishia kufukuzwa ila baada nikaja kumpata niliye nae sasa nikasahau machungu...sasa ndo huyu anakuja tena katika maisha yangu , Im confused
Sasa Nifanyaje Nishaurini
By Silvester Limota