Napenda Mwanaume Mweusi Mwenye Harufu ya Kiafrika...

Mwanadada Esma Dangote ameamua kuweka wazi kuwa kwenye maisha ya mahusiano anapenda sana wanaume weusi kwani wana harufu ya Kiafriaka.

Kwenye moja ya interview yake Esma amefunguka "Mimi kweli napenda sana wanaume weusi maana wanaume weusi wanakuwa na harufu flani ya kiafrika hata ukimkumbatia unasikia raha"

Kwa upande mwingine Mwanadada huyo ameeleza zadi kuwa kama atatokea Mwanaume atakayempenda yeye na watoto wake basi hana shida anakaribishwa kwa Mama Dangote.
Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Esma kublaii Abdul Khani, Mbona sula ya lokole na kimguu havifanani na mkono.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad