Nimegundua Mimi na Baba Yangu Mzazi Tunashare Msichana Mmoja Bila Kujua...

Ni wiki ya tatu sasa tangu mama asafiri kwenda kwenye msiba huko nyumbani kwao, nyumbani tumebaki mimi, baba na mfanyakazi wetu wa ndani.

Kwa vile mimi nimeshamaliza chuo na muda mwingi huwa nashinda nyumbani (sina kazi) nimejikuta nikiingia katika mahusiano ya mapenzi na huyu msichana waa kazi.

Juzi usiku kama kawaidayangu nilienda chumbani kwake ila sikumkuta ikabidi nitege mingo ili nijue huyu msichana kaenda wapi, baada ya kama lisaa 1 nilishtuka kuona mlango wa kwa baba unafunguliwa na yule msichana wa kazi kakatoka na kwenda chumbani kwake.

Niliumia sana kuona kile kitendo si kwa wivu wa mapenzi bali kwa kile kitendo alichofanya baba na ukizingatia anamke wa ndoa (mama yangu).

Wadau naombeni busara zenu kuwa anachokifanya sio kizuri au nimwambie na bi mkubwa?
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mwachie baba ale uroda labda inaiweza shuguli kitandani kushinda wewe
    weka kamera uanagalie baba ujifunze baba anavyofanya

    ReplyDelete
  2. Na hii picha ya huyu kijanA kila siku anaonewa yeye tumeochoka awekwe mwengine handsome boy Na kwenye mvuto hata km anaonewa

    ReplyDelete
  3. Hiyo family yenu imeingiliwa na pepo yaan babako anafanya uzinzi katika kitanda ambacho kimebarikiwa na mungu mnahitaji maombi haswaaaaaa yaan kama ni ukimwi mnaupata wote pole kijana

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad