Nimekuta Ngo ya Ndani ya Mke Wangu Chumbani Kwa Mdogo Wangu wa Kiume



Jamani Leo ni Siku ya saba tangia nikute kufuli ya mke wangu chumbani kwa mdogo wangu wa kiume,nimekaa nalo moyoni naona niwashikirikishe wenzangu nione mnishauri nini
Ni hivi Ninaishi na mke wangu,mwaka wa NNE sasa,tuna mtoto mmoja,nina Mdogo wangu,anaishi hapa tangia January niliponunua bajaj ili awe anaendesha ili kusaidia wazazi wetu nyumbani kijijini,sasa jumapili iliyopita Wife aliwahi sana asubuhi kwenda kanisani pamoja na mtoto, Mimi nilibaki nimejilaza mpaka kama SAA moja na nusu Hivi, nilivyokumbuka kuwa nilikuwa na Ahadi Fulani, katika kufanya maandalizi sikiweza kuiona pass, so nikaenda straight chumbani kwa dogo katika kuitafuta ndo nilipo kutana na chupi ya mke wangu, ambayo Mimi mwenyewe nilimununulia so imechoka choka kiasi chake,nilishikwa na butwaa kwani namwamini sana wife, dogo mwenyewe heshima kwa sana, nilichukua simu na kupiga picha kadha na kuzificha kwenye private vault, ile chupi nikaaicha palepale, wife hajasema chochote mpaka sasa, nawaza namna ya kuanza kumuulizia japo ameshahisi kuwa siko normal, coz nikimuona usoni nakuata hasira imepnada sana

Kwa kifupi naogopa ukweli kuwa mke wangu amenisaliti kwa mdogo wangu, mpaka sasa simuoni kama mke wangu tena, namuona kama bundi kajificha chumbani kwangu, naomba mnishauri kwani Mimi kwa haraka haraka naona nimwite kaka yake aje amchukue kabla sijamfanya kitu mbaya, tatizo hasira zangu hupanda pole pole sana, kuzishusha ni kazi sana

By Shonkoso
Tags

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwa nini unafikiria mkeo ndio ka cheat? Je kama huyo mdogo wako ndie anaemtamani mkeo na kaichukua hiyo chupi bila mkeo kujua. Na haya yanatokea sana ila sisi wabongo tunajitoa fahamu. Ongea na mdogo wako kwanza

    ReplyDelete
  2. Anza kumuuliza wife,maana yeye ndio hana mipaka ya kutembea kwenye nyumba yake..atoe sababu za kuridhisha,kwanini nguo yake ipo kule.dogo hawezi kuja chumbani mwako akaiba nguo hiyo badala ya pesa..ni dhahiri mwenye nguo aliivulia kule...kama hana majibu yanayoridhisha...itisha baraza la familia,ili ikiwezekana wote wawili wafungashe virago...mtoa rushwa ya ngono na mpokea rushwa ya ngono,wote wahalifu tu...madhara ya kukaa kimya muda mrefu,ni makubwa .ongea nao kwenye kikao hicho

    ReplyDelete
  3. Asijali mana chup yenyewe ina damu

    ReplyDelete
  4. Watumie Hiyo Picha Kwenye Simu Zao

    ReplyDelete
  5. Hii ni ya juhudi kuinama mradi dogo kaipitia hamna noma. tena ombea ashike kibendi familia ikue. hongereni sana dogo hongera kumsaidia brozer na uvivu wake. Kama upo imara Unaokoa Jahazi.
    Hapo hapo ndani. blaza Usvujishe sasa.

    ReplyDelete
  6. Ahhhh... Jamani, bona hii ni Sidiria
    naona blaza kama kachanganyikiwa.

    ReplyDelete
  7. oya Alipita Teja, Dogo akashtukia ndiyo
    aaka ihifadhi, Ajili usipate Hasara ya kununua nyingine. Sasa imekuwa Kesi.

    Ama kweli dunia haina Muamana.

    ReplyDelete
  8. Heehhh... Makubwa...!!!
    Shemeji saii yake ni XXXXL.
    HIi saizi yake M.
    Ila zilikuja katika Bale moja. na hii rangi yake ni damu ya Mzee na ile ni Nyekundu. Hakikisha kwanza Kaka.

    ReplyDelete
  9. Ahhhh... Jamani, bona hii ni Sidiria
    naona blaza kama kachanganyikiwa.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad