VIDEO: CCM Wafunguka A-Z Kisa cha Wagombea wa Upinzabni Kuenguliwa, Waitaja Serikali ''Hapa Hamna Huruma"


Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole amesema CCM ilisambaza mawakili 1250 nchi nzima kwa ajili ya kukutana na wagombea wake na kuwafundisha namna ya kujaza fomu zao kabla ya kuziwasilisha kwa wasimamizi wa uchaguzi.

“Wapinzani mmeenguliwa kwa makosa ya kiufundi ambayo msingi wake ni ujinga, sisi (CCM) hatuhusiki,” amesema Polepole.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI..

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad