Rais Magufuli achangia Milioni 100 mfuko wa Wasanii

Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amepiga simu kwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa atachangia Milioni 100 mfuko wa wasanii.

Kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere linafanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaaam.

"Nimepokea simu kutoka kwa mtu muhimu sana, kutoka kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema wasanii ni watoto wake hivyo atachangia Milioni 100," alisema Rais Magufuli.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa anamuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli katika Kongamano hilo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad