.Rais Magufuli Kuzinduzi Wa Kitabu Cha "My Life My Purpose" Cha Rais Mstaafu Mhe. Benjamini Mkapa


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli anashiriki hafla ya uzinduzi rasmi wa kitabu cha Historia ya maisha ya Mhe. Benjamin William Mkapa Rais Mstaafu wa awamu ya tatu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es salaam.Kitabu kianitwa "MY LIFE MY PURPOSE"
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad