Rais Magufuli "CAG Tambua Mwenye Serikali Yupo Ukipewa Maagizo Tekeleza"


"CAG mpya nakutakia kazi njema , usije ukaenda uko ukakajifanya na wewe ni Muhimili, Mihimili ni mitatu tu Bunge, Mahakama na Serikali, kwenye kiapo chako umesema wewe ni Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwahiyo mwenye Serikali yupo" - JPM

"CAG ukipewa maagizo na Mihimili mingine kama Bunge katekeleze usibishinae nao, ukipewa maagizo na Mahakama kaitekeleze wewe ni Mtumishi, CAG wewe ni Mtumishi"- JPM

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad