“Rais Wamekamata Tena Ndege, Yule Yule” Kabudi Akimvaa CAG Mstaafu (Video)



Waziri Prof. Kabudi amemuambia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa ndege ambayo amenunuliwa na Serikali imekamatwa nchini Canada “Ndege nyingine ya Tanzania ambayo ilikuwa inajiandaa kuja Tanzania imekamatwa Canada, na aliyefanya hivyo ni yuleyule ambaye aliikamata Ndege yetu Afrika Kusini tukamshinda Mahakamani, ameamua kukimbilia Canada” – Waziri Kabudi

VIDEO:

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. muacheni mzee wa watu akalime musimchonganishe na Rai wetu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad