RIPOTI :Matumizi Holela ya DAWA Husababisha Mwili Kupata Usugu wa Dawa


Mratibu Usugu wa Vimelea dhidi ya Antibiotiki, Dkt. Siana Mapunjo amesema matumizi ya Dawa za Antibiotiki (Antibiotic) kiholela ni hatari kutokana na kusababisha vimelea vinavyosababisha Usugu wa Dawa

Ripoti ya Shirika la Afya Duniani (WHO) na Shirika la Chakula Duniani (FAO) inasema takriban watu 700,000 kila mwaka wanapoteza maisha duniani kote kutokana na Usugu wa Dawa

Akizungumza katika maadhimisho ya Wiki ya Matumizi ya Antibiotiki iliyoanza jana, Dkt. Mapunjo alisema ni bora watu wakazingatia Matumizi Bora ya Dawa kwani tafiti zinaonesha nchi zinazoendelea zipo hatarini zaidi katika kuenea kwa Usugu wa Dawa

Watu wanatuomia dawa nyingi wako hatarini kupata Usugu wa Dawa, kwani matumizi ya mara kwa mara ya Antibiotiki yanaweza kusababisha kushuka kwa kinga ya mwili
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad