SERIKALI "Ambaye Haridhiki na Shughuli za Uchaguzi Aende Mahakama za Afrika Mashariki"


Serikali imewaambia watu ambao h
awaridhiki na mwenendo wa shughuli za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, bado wanayo fursa ya kufungua kesi kwenye Mahakama za Afrika Mashariki au kushtaki katika Bunge la Afrika Mashariki

Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema hayo Bungeni wakati akijibu swali la Mbunge wa CUF, Ally Saleh aliyehoji kuwa tabia ya kuwakata wagombea wa upinzani kwa zaidi ya asilimia 90, Tanzania inakiuka matakwa ya Afrika Mashariki

Ndumbaro amesema, Tanzania inafuata misingi ya Utawala Bora ya Afrika Mashariki na kwa ambaye amekwazwa akalalamike kwenye Bunge au Mahakama za Afrika Mashariki
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad