Sister Fay Anangwa Kisa Pete ya Uchumba


MSANII wa filamu na muziki Bongo, Sister Fay amejikuta akila za uso kwa kunangwa vilivyo na mashabiki kisa pete ya uchumba aliyovalishwa hivi karibuni.



Sister Fay aliweka video akiwa analia huku akiwa anabembelezwa na mchumba wake wa sasa na kusema kuwa analia kwa furaha kutokana na kuvalishwa pete ya uchumba yenye thamani ya shilingi milioni 40.



Baada ya kueleza hivyo mashabiki kibao walimnanga wakidai kuwa hiyo ni kiki na hakuna uhalisia wowote juu ya hilo.



“Ngoja niende chooni nikajisaidie kwanza halafu nirudi kusoma tena huenda nimebanwa na haja nimeshindwa kuona vizuri hiyo tarakimu ya hela,” aliandika Zullusaid5 akiungwa mkono na wengine wengi
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad