SOMALI: Mwanaharakati Almaas Elman Auawa Kwa Kupigwa Risasi


Mwanaharakati wa Mashirika ya Kiraia, Almaas Elman ameuawa kwa kupigwa risasi Novemba 20, 2019 alipokuwa akijiandaa kusafri kwa ndege kwenda Nairobi anapoishi

Ameuawa alipokuwa akisafiri kwa gari katika eneo lililopo karibu na uwanja wa ndege wa Mogadishu ambapo Wafanyakazi wengi wa Mashirika ya Kimataifa wanaishi

Almaas ambaye ni mtoto wa Mwanaharakati maarufu wa amani Nchini Somalia, Elman Ahmed aliyeuawa mwaka 1996, amefariki akiwa njiani kupeleka hospitali huku akiwa mjamzito

Alikuwa akirudi Somalia kusaidia Kituo cha kuwashawishi Watoto kuachana na makundi ya Silaha kilichoanzishwa na Mamake (Fartuun Adan) katika mipango yake ya kupambana dhidi ya unyanyasaji
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad