TFF wafanya mazungumzo na Rais wa UAEFA


TFF chini ya Rais wake Wallace Karia pamoja na Katibu Mkuu wa shirikisho hilo Wilfred Kidao leo Novemba 17 2019 wametangaza kufanya mazungumzo na Rais wa chama cha soka cha Umoja wa nchi za Falme za kiarabu UAEFA Eng. Marwan Bin Ghalita kwa ajili ya kushirikiana katika masuala ya soka.

Pande hizo mbili zimekubaliana kushirikiana katika masuala mbalimbali ya soka ambayo maeneo yatakayoguswa ni soka la vijana,mafunzo ya Makocha, Mafunzo ya Uongozi, Mechi za kirafiki,mahusiano miongoni mwa timu za nchi hizi mbili na mafunzo ya waamuzi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad