Thierry Henry Apata Dili la Ukocha Marekani


Thierry Henry amepewa kibarua chukua kocha mkuu wa klabu ya Montreal Impact inayoshiriki ligi kuu ya Marekani MLS.

Henry mwenye miaka 42 aliwahi kuitumikia klabu ya New York Red Bulls kama mchezaji kwa kipindi cha miaka minne na nusu kabla ya kustaafu kucheza soka 2014, amesaini kukinoa kikosi hicho cha Montreal Impact kwa mkataba wa miaka miwili wenye kipengele cha nyongeza ya miezi 12.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad