Tshabalala Alichofanyiwa na Wachezaji Wenzake Noma Sana


NAHODHA Msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein, ‘Tshabalala’ leo ameonja joto ya jiwe mbele ya wachezaji wake kwa kumpaka matope mwili mzima.

Tukio hilo limetokea leo kwenye mazoezi ikiwa ni kumbukizi ya miaka kadhaa ya kuzaliwa kwake wakiwa mazoezini viwanja vya Gymkyana.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad