Uongozi wa Harmonize Wafunguka 'Tumeweka Wanasheria Wimbo wa Uno Utarudi Youtube'

Tumepata Taarifa kutoka Youtube Kwamba,mtu mmoja ambae Inasemekana Kutoka Nchi jiraninya Kenya,Ametuma Barua pepe kudai umililiki wa wimbo wetu Pendwa #UNO.
Aidha kwa taratibu zao YouTube Ni Lazima wauweka Private wakati wakiendelea na taratibu za Kujirdhisha juu ya madai hayo.

Kama Menagement ya Harmonize Tayari tumesha waelekeza Wataalam wetu wa kisheria kufuatilia jambo hili Kwa kina.

Tunachukua Nafasi hii Kuwaomba Mashabiki wetu na wapenzi wa Harmonize,Kuwa Watulivu Wakati jambo hili linashughulikiwa. Aidha Tunaimani Wimbo wetu Utarudi baada ya muda sio mrefu.Tunawashukuru kwa sapoti yenu.Mungu Awabariki.Asanten sana.

BY HARMONIZE MANAGEMENT
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad