Ushauri: Ninapenda Ngono Kuliko Kula, Natamani Wanawake Wote Wazuri Niwamiliki, Nina Shida Gani?

Kwa kweli wadau hii hali inanisumbua sana nikimuona mwanamke ana chura mkubwa, mzuri, macho makubwa huwa anabadilisha mapigo yangu ya moyo, kila mwanamke wa hivyo natamani awe wangu nimmiliki.

Huwa nipo tayari kufanya mapenzi mfululizo siku nzima na nguvu hizo ninazo, kuna kipindi nilikua nimepanga chumba ilikua saa 2;00-4;00 namsindikiza anaondoka saa 4;00-6;00 ameshaingia mwingine kisha anaondoka akiondoka saa 7;00-9;00.

Mwingine akiondoka atakaekuja saa 10;00 Hadi saa 12;00 akiondoka anakuja mwingine ambae atalala mpaka asubuhi na simpi gape ya kuonana na mama mwenye nyumba mwonekano wangu; mimi ni kijana mpole sana
ninapenda sana kufanya mapenzi na jinsi ninavyofanya ndivyo ninakua na nguvu sana nimeshawahi kufanya mapenzi korongoni kuna binti nilikua namsindikiza nikamsomesha tukaingia korongoni.

Mwingine tulikutana kwenye miti miti nikapanda nae hadi juu ya mti tukamalizana, mwingine tulikua tunapita karibu na mtoni nikamchukua nikambeba juu juu tukamalizana baada ya hapo siku nakutana nae kwenye mwanga alikua na makovu mwili mzima, na kuna mwingine kwenye choo cha public tulitandika majani chini na nguo tukamalizana.

Hii hali naikataa lakini hata nikiwa kanisani mawazo yangu ni ngono tu yaani nawaza ngono tu nifanyeje hii hali ipotee nikimuona mwanamke mwenye chura, macho makubwa, miguu minene naishiwa nguvu kabisa
wadau nisaidieni nini kimenipata?

Nipo katika chuo fulani hapa Mwanza, nachukua bachelor kila mwanachuo wa kike ninaemuona hapa natamani nimmiliki, kiufupi nimekua mlafi wa wanawake hadi wamama wa makamo ambao wanamngao kidogo.

Msaada wenu wazeiya.
Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Una mapepo ya ngono wewe. Ujana nao na tamaa za mwili zinakusumbua pia hutaki kumzoea mwanamke ukamuona ni kiumbe wa kawaida si lazima kufanya nae hicho kitendo! Funga na kuomba sana mwishowe hiyo hali itaondoka taratibu na mwisho utaacha. Ila ni lazima uikatae kwa moyo, akili, mawazo na roho yako yote na umshirikishe Mungu kwa karibu sana uponyaji utakuja.

    ReplyDelete
  2. Endelea kutaman siku taman mke wa mtu ufunwe nae utakachokipata mwenyewe utaacha hiyo tabia

    ReplyDelete
  3. Pole lakini ukimwi upo pia nakupongeza kwa kufika mbali kwa hali hiyo naamini ukiamua utashinda

    ReplyDelete
  4. Lazima ujifunze kujizuia, kutamani kila mwanaume anafanya hivyo isipokuwa huwa tunajizuia tusitongoze ovyo kwani si heshima kumvua kila mwanamke utakosa heshima na baadae hata ukioa mke atakukimbia kwa umalaya kwa hiyo lishughulikie sana hilo jambo

    ReplyDelete
  5. Acha kuendekeza huo sio ugonjwa unaohitaji dr. Kama vp karibu tuna dawa ya kupunguza tamaa za kimwili

    ReplyDelete
  6. Ngoja ukutane na jinMahaba ndipo utakapojua.

    ReplyDelete
  7. Utakuwa hauna dini wewe......ungekua unamjua Mungu usisema hayo wala usingetamani wanawake kwa kiasi hicho cz hauna hofu ya Mungu ndani mwako....mwamini Mungu na tubu na ugeuke kabisa.....wewe ni kijana na unanguvu kabixa za kumshinda shetani

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad