VIDEO: Haji Manara Amlipua Zahera/ Awakejeli Yanga "Tulieni Dawa iwaingie"


Msemaji wa klabu ya soka ya Simba SC, Haji Manara,  ameonekana kukubaliana na maamuzi ya Yanga kumfukuza kocha wao Mwinyi Zahera, pia amewakejeli watani zao hao kwa kuwaambia watulie dawa iwaingie.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad