VIDEO:Mwijaku Alivyowakimbia Waandishi wa Habari Baada Kuuliza VIDEO za Menina


NI headlines za Mwijaku ambae leo Novemba 15, 2019 alikutana na waandishi katika shughuli ya kongamano la Sanaa la Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.

Sasa miongoni mwa maswali aliyoulizwa ni kuhusiana na video za Menina itazame hii video ujionee alivyokimbia
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad