“Huwa najiangalia kwenye kioo mara kwa mara, kuna wakati siamini maana nakuwa mzuri siku hadi siku mpaka sijiamini lakini sina shaka, nilishawahi kuambiwa kuwa ukiwa unazeeka ndivyo unazidi kuwa mzuri siku hadi siku. Hivyo, sura yangu kuja kuwa na makunyanzi itachukua muda sana,” Penny ameliambia Risasi
VJ Penny "Navyozeeka Ndio Nazidi Kuwa Mzuri wa Sura"
0
November 08, 2019
VJ Penny mtangazaji maarufu aliyewahi kuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amesema haamini kwa jinsi uzuri wake unavyozidi kuongezeka siku hadi Siku!
Tags