Waliojitoa KWENYE Uchaguzi Watakiwa Kuandika BARUA Kabla ya Saa 10 Jioni......


Wizara ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI imewataka wagombea wa Vyama vya Upinzani vilivyojitoa katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kuandika barua za kujitoa katika uchaguzi huo, kabla ya saa 10 jioni ya leo Novemba 16

Sharti hilo amelitoa Naibu Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mwita Waitara na kufafanua kuwa, wagombea wanaotakiwa kuandika barua za kujitoa, ni wale walioteuliwa kugombea katika uchaguzi huo, unaotarajiwa kufanyika Novemba 24, 2019

Waitara amesisitiza kuwa, muda huo ukifika pasipo wagombea husika kuandika barua ya kujitoa, Wizara yake itaendelea kuwatambua, na kuwa watapigiwa kura, hata kama vyama vyao vimetangaza kujitoa
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad