Wasafi TV Wamtangaza Msanii Huyu Mkubwa Kutoka NIGERIA Kuburudisha Wasafi Festival Dar


Tunaichana Anga ya Kimataifa, Tunapasua Mawimbi ya burudani na Kuachia Shangwe zenye Mizuka ya Kuitengeneza Historia Mpya ya Burudani Kupitia Tamasha la #WasafiFestival2019 .
.
Tunapaa Mpaka +234 Lagos Nigeria Kisha Tunadondoka Mpaka Mtaa wa Surulele, Eneo Alilozaliwa #StarBoy , kijana Mwenye Njaa ya mafanikio na Uchu wa Kufika Mbali zaidi Kupitia Sanaa kwa Kutengeneza Ladha ya Kipekee Kwa Midundo ya Afro Beat WorldWIde

Tunamtangaza Rasmi @wizkidayo na Ataibless DAR ES SALAAM Kuangusha Mvua ya Burudani Kwenye Stage ya #WasafiFestival2019 Pale Viwanja vya Posta Kijitonyama - DAR ES SALAAM
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad