Watu 120 wafa kwa mvua kubwa Kenya, wengine 160,000 waathirika vibaya


Maafa yaliyotokana na mvua kubwa ikiwa ni pamoja na mafuriko na maporomoko ya ardhi ya mewauwa watu wasiopungua 120 na kuathiri wengine zaidi ya 160,000 kote Kenya, na kuharibu miundombinu muhimu.

Ofisi ya Umoja wa Mataifa (UN) ya Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu (OCHA) ambayo ilionyesha takwimu kutoka Jumuiya ya Msalaba Mwekundu wa Kenya (KRCS) na serikali ilisema kuwa watu hao wamepoteza maisha baada ya kuzama kwa nyumba zao katika Kata ya West Pokot kaskazini magharibi mwa Kenya.

Shirika hilo limesema mvua kubwa imesababisha mafuriko makubwa, maporomoko ya ardhi katika maeneo yasiyopungua 31 kati ya kata 47, huku ikizuia juhudi za uokoaji.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad