Watuhumiwa wa Ujangili Wakamatwa na Silaha na Minofu ya Nyama Pori


Arusha
Watuhumiwa wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani humo kwa tuhuma za kujihusisha na matukio ya Ujangili kinyume na Sheria za Nchi

Wamekamatwa wakiwa na silaha mbili za kivita na za Jadi, pamoja na meno mawili ya Tembo na minofu ya Nyamapori

Jeshi la Polisi linaendelea na mahojiano na uchunguzi ili waweze kufikishwa mbele ya Vyombo vya Sheria

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad