Wazee Yanga Wakinukisha Wataka Cheo cha Antonio Nugaz Kifutwe

Kufutia kuibuka kwa sintofahamu baina ya Antonio Nugaz na Hassan Bumbuli juu ya nyadhiza zao, imeelezwa wazee na baadhi ya wadau wa Yanga wametaka cheo cha Ofisa Uhamasishaji kifutwe.

Taarifa zinaeleza kuwa wazee na wadau hao wameona hakuna haja ya kuwepo kwa cheo hicho kutokana na kutokuwepo kwenye katiba ya klabu hiyo.

Mapendekezo haya yankuja kufutia wawili hao, Nugaz na Bumbuli kila mmoja kujiita ni Ofisa Habari wa klabu nafasi ambayo amepewa Bumbuli.

Ikumbukwe Nugaz hivi karibuni alipewa cheo cha Uofisa Uhamasishaji ndani ya Yaga ambayo wazee hao wameona haina haja ya kuwepo na hii ni baada ya kutofautiana kwa kauli baina yao wawili.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad