Waziri Mwakyembe ASEMA Kauli Yake Haikumlenga ROMA Mkatoliki..


Baada ya kelele nyingi za mitandaoni, hatimaye Waziri wa Habari, Sanaa na Michezo, Dr.Harrison Mwakyembe (PhD) amesema kauli yake ya awali haikumlenga Roma kwa kuwa hakujua kama ametoa wimbo mpya. Kuhusu kutokukosolewa na msanii aliyeishia "darasa la 7" amesema hakumlenga Roma kwa kuwa Roma ni msanii msomi (ana shahada ya Computer Science, ya chuo kikuu UDSM) na anafanya vizuri kwenye tasnia ya sanaa kama wenzake kina Vanesa Mdee, Harmonize etc.!

Nini maoni yako

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad