Mwimbaji Whozu Afunguka live Kinachoendelea sasa hivi kati yake na Tunda, Ukaribu wao Kwa sasa umepungua , Adai awakujuana leo , Mapenzi yalianza FIESATA Baada ya Kuperform show Vizuri, Afunguka jinsi walivyoanza kutongazana na kuwa Wapenzi, Nilianza Kumwandikia Bae na Boo Whats App Kusikilizia Atajibuje
VIDEO