Zamaradi "Taarifa Mwili wa Mwanamke Umeokotwa BUNJU B Katika Pagala"

ANAANDIKA ZAMARADI :
Mwili wa mwanamke/msichana umeokotwa leo maeneo ya BUNJU B karibu na Idara ya maji kwenye nyumba ambayo haijamaliziwa ujenzi (gofu) ukiwa umeharibika vibaya

Maiti imekutwa ikiwa na nguo ya juu tu (blauzi) haliyakuwa chini ni mtupu huku Pembeni ya mwili huo kukiwa na viatu vya kimasai na tight

Hivyo kama kuna mtu amepotelewa na ndugu, jamaa ama rafiki afike kituo cha polisi karibu na eneo kupata taarifa zaidi maana ni mwili unaoonekana umetupwa muda kidogo kutokana na kuharibika kwake...>>BY @zamaradimketema
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad