CHUKUA Hii..Tanasha DONA Ndio Mwanamke Sahihi Kuolewa na Diamond Platnumz


Leo tuje kwenye maisha binafsi ya wasanii wetu nje ya mziki wao Tokea diamond Platnumz awe na uhusiano na Tanasha Dona Kutoka Kenya, Mondi ametulia sana usikii sijui katoka na Nani Nampa pongezi Tanasha kwa kumtuliza Mondi maana Mondi kiukweli kweli alizidisha skendo za kuchepuka

Tanasha Dona ni mtu sahihi kwake kuwa mke Sababu ni mpole me binafsi napenda wanawake wapole sijui ni kwasababu me ni mpole, Hana show off, sio mtumiaji Sana wa social network alafu kingine ambacho anacho sio mtu ambaye anayejibizana na ma Ex wa Mondi ili lilikuwa linawashinda wanawake wengi walioanzisha uhusiano na mondi.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad