Afisa habari Yanga kuhusiana na Aussems ‘Uchebe’ kuwa mrithi wa Zahera


Afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli leo kaulizwa kuhusiana na taarifa za kudaiwa kuwa wadhamini wao GSM wapo katika mazungumzo na aliyekuwa kocha wa Simba SC Patrick Aussems ‘Uchebe’ ili aje kuifundisha Yanga, taarifa hizi zipoje?

“Tunafanya usajili huu kwa ajili ya Ligi sio kwa ajili ya watu gani au mechi moja, tunasema mechi ya JKT na Yanga inaweza kuwa mechi ngumu zaidi kuliko mechi hiyo watu ambayo wanaitolea macho zaidi sababu mechi hiyo sisi ni kwenda kuchukua point tatu kuelekea mbio zetu za Ubingwa”>>>Hassan Bumbuli

“Suala la Uchebe msiwe na wasiwasi litakapokuwa tayari mtaambiwa kwamba likoje, muda utaamua kwamba ni uchebe au nani anaingia kuinoa club ya Yanga”>>>Hassan Bumbuli
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad