Ali Kiba Amuiga DIAMOND Platnumz...Auonesha Studio na Makao Makuu ya Label yake

Msanii AliKiba ametuonesha kile kilichoonekana kama mfano wa Studio na Makao Makuu ya Label yake, Kings Music Records.

Kupitia picha ambazo ameziweka hapa instagram muda mchache uliopita, #KingKiba ameambatanisha na ujumbe usemao 'Soon' yaani hivi karibuni.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad