Sasa huyu mpenzi wangu amenigharamia sana yani kuanzia nguo zote hadi chakula nacho kula vyote ni msaada wake yeye na amejitolea kuninunulia gari la kutembelea na kanambia nitafute kiwanja ili tujenge nyumba ya kupangisha.
Ila mimi kwa sasa naona kama huyu mwanaume hatuendani kwani yeye hana elimu ila anafanya kazi kutumia akili ya kuzaliwa, Jamani mimi nataka kuishi na msomi mwenzangu ila huyu kaka mimi naona kama freemasson kwani kanisaidia sana asije akanitoa kafala, Mimi kwa sasa nimepata mpenzi mpya ambae anaelimu ya chuo pia ni sharo sio mshamba kama huyu wa zamani.
Sasa please naombeni ushauri wenu jamani nimwambiaje kama sipo tayari kuishi na yeye huyu mpenzi wa zamani bila kuumiza moyo wake...?
Leo ndiyo umemuona mshamba na Free mason, wakati unakula, unavaa na kusoma tangu ukiwa huko form one mpaka leo hukuwaza kama atakutoa kafara, leo ndo unaona utatolewa kafara? acha kumtafutia sababu mtu wa watu, wakati unakubali hayo yote hukujua kama humpendi.
ReplyDeleteMimi siyo Free mason lakini ingekua mimi unanifanyia hivyo ningekukamua damu ukiwa hai niinywe yote, alafu nikukatekate nipike supu ninywe nile nyama yako mbwa koko usiye na shukrani wewe.
Shukurani ya punda
ReplyDeletewe msaliti tu MUNGU anakuona kwanini hukuviona toka hauna ata aibu
ReplyDeletePamoja na elimu uliyoipata na kupendezeshwa na huyo mshamba mpaka ukapendwa na sharo bado unamuona free mason ama kweli kusoma si kuelewa unaweza ukawa na elimu lakini bado ukawa hujielewi, sasa muache huyo aliyekutoa tongotongo nenda kwa huyo unayemuona mjanja halafu uone mwisho wenu utakuwaje, paka la bar wewe huna hata haya kuandika hayo uliyoandika mwache mshamba wa watu nenda kwa huyo mjanja mle bata ila usithubuu kumchuna mshamba ukampelekea sharo, pamoja na ushamba wake atakuua we unajua hizo pesa alizokuhudumia tangu ukiwa mjinga mpaka hapo ulipofika unajua anapozitoa?
DeleteJitahidi kuludisha mapenzi kwa huyo aliekusomesha.Kuludisha fadhila ni kitu cha msingi sana.
ReplyDeleteHuyo sharo kakupenda kwasababu umesoma una gali sivinginevyo.Huyo jamaa kumwacha ukaambatana na huyo sharo wako ni sawa sawa na kumkana mama yako mzazi aliekuzaa akakulea mpaka ukawa mkubwa.
Huo ni Ulimbukuni ambao ni mwanzo wa kuharibikiwa katika maisha.. Masikini Nakuonea huruma
ReplyDeleteGold digger
ReplyDeleteACACIA! !
ReplyDeleteJust be with the one you really love.
ReplyDeleteLOVE IS NOT POLITICS' Misaada, zawadi, kusomeshwa siyo justification ya kuumpenda mtu