Ampa Mimba Mara Mbili Mwanae wa Kumzaa! -


Pichani chini kulia dingi huyo aliye katika miaka ya 60s yeye na mwanae huyo wa kumzaa pichani juu kushoto wameingia aibu ya aina yake kufuatia kubainika kuwa katika mahusiano ya kingono ambapo mzee huyo amempa mimba mara ya pili binti yake huyo , hivyo kuzua taharuki eneo walilokuwa wakiishi nchini Nigeria, wakazi wa eneo hilo waneamua kuwatimua wawili hao waende wakaishi mbali kabisa na eneo hilo kuepuka kuwapa aibu na uwezekano wa kuwaletea mabalaa eneo hilo

Dingi huyo aliwekewa Kamba maalum shingoni na binti yake kuwekewa kamba maalum mguuni kama wanavyoonekana kuashiria kuwa uhusiano wa penzi lao haukubaliki kwani ni mtu na mwanae wa kumzaa

Wananchi wa eneo Hilo walipakiza vitu vya wawili hao Kwenye gari Ili waondoke
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad