Baada ya Miaka 46 ya Ndoa, Mwanamke Mwenye Miaka 70 Amejifungua Mtoto wa Kwanza Huko India.

Baada ya miaka 46 ya ndoa, mwanamke mwenye miaka 70 amejifungua mtoto wa kwanza huko India.
.
Daljinder Kaur amejifungua mtoto wa kiume baada ya kupata matibabu ya IVF kwenye kliniki za uzazi huko India.

Kwenye picha akiwa na mume wake wa miaka 79, Kaur alisema yeye na mume wake walikuwa karibu kukata tamaa ya kupata mtoto kutokana na umri wao na kuona Kama Mungu amewalaani wasipate mtoto.

Alisema hatimae Mungu amejibu maombi yao na wamepata mtoto na sasa wanajiona wamekamilika.

Aliendelea kusema kuwa yeye na mume wake watamlea mtoto wao wenyewe kwasababu huyo mtoto amewapa nguvu mpya katika maisha. Pia anawasihii wote wenye changamoto za uzazi wamuombe Mungu bila kuchoka.... Aliongezea kusema....".....I can't wait to b a grandma!!
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mungu anadhihirisha ukuu wake....utukufu na heshima ni vyake tu.

    ReplyDelete
  2. INAPENDEZA SANA JAMANI MPAKA CHOZI LIMENITOKA

    ReplyDelete
  3. wema usikate tamaa watembelee hawa upate ushauri

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad