Baada ya Ndoa yake Kupasuka, AMBER Rutty Ajitosa Kutangaza Kutaka Kuoa Mwanaume..

Baada ya ndoa yake kupasuka kisha kusherehekea kuwa singo, Amber Rutty ajitosa kutangaza kutaka kuoa mwanaume !

"Nimetumia muda mwingi sana kujiuliza ni jinsi gani naweza kuyamudu mapenzi, nimekuja kugundua njia rahisi sana tena wala sio ya kutumia nguvu nyingi, jamani natafuta mwanaume wa kumuoa, nitatoa barua, mahari na kila kitu, ili akinizingua namuandikia talaka asepe zake" amesema socialite huyo mwenye vitimbi

Toa maoni yako kuhusu kauli hiyo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad