Habari kubwa kutoka Moshi ni ya Watu ambao idadi yao haijafahamika kunusurika kifo baada ya Basi la abiria la kampuni ya Harambee kuacha njia katika Barabara ya Boma karibu na mnara wa saa baada ya kufeli breki na kisha kuparamia Magari sita.
Kamanda wa Polisi Kilimanjaro Salum Hamduni amesema wanamtafuta Dereva wa gari hiyo ambaye amekimbia.
TAZAMA VIDEO: