Bifu ya Gigy Money na Diva Loveness Lafika Pabaya...Diva Amshitaki Gigy Money Polisi

NI Headlines za mtangazaji Diva ambae amefunguka kuhusu Gigy Money ambapo hapo awali wawili hao walikuwa wakirushiana vijembe mitandaoni

"Nilikuwa Natetea Kampuni yangu ambayo imenilea na kunifikisha hapa nilipo, issue ya Gigy Money ni ametumwa na suala nimeshalifikisha polisi na anatafutwa japo anawakimbia" Diva Loveness

Tazama VIDEO
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad