Billnass "Sijawahi Kuhongwa GARI na Nandy Ushahidi Ninao"

Billnass katika Interview na Wasafi Fm : "Katika Maisha yangu sijawahi Kupewa gari na Nandy, Nilinunua na ninaweza kuonesha hadi mikataba kilichotokea kipindi mimi na nunua timu yao pia ilinunua gari kama yangu"
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad