BUKOBA: Mtu anayesadikiwa kuwa mfungwa aliyeachiwa kwa msamaha wa Rais Magufuli amuua dereva bajaji


Mtu anayesadikiwa kuwa mmoja wa wanufaika wa msamaha kwa wafungwa uliotolewa na Rais Magufuli amemuua dereva wa bajaji Geofrey Kobadi (30-35) kwa kisu na kuwajeruhi watu wengine watano kwa silaha hiyo na kupelekea kuuawa kwenye stendi kuu ya mabasi, Bukoba mjini.

Jumatatu Disemba 9, 2019 Rais wa Tanzania John Magufuli alitoa msamaha kwa wafungwa 5,533 waliopo magereza mbalimbali nchini. Alitoa msamaha huo  katika maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru wa Tanganyika yaliyofanyika uwanja wa CCM Kirumba mkoani Mwanza.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad