Burna Boy ameacha alama kwenye ardhi ya Nyerere, Ijumaa ya November 29 imeingia kwenye vitabu vya historia ya burudani nchini.
Msimamizi wa makumbusho ya taifa ya burudani ametuambia kwamba cha kwanza alichokiandika kwenye ukurasa wa Burna Boy ni muda aliopanda stejini (Saa 8:05 Usiku) zile Shangwe hazikuwa za kitoto, zilifika hadi nyumba Kuu ya taifa Magogoni kumjulisha mwenye Nyumba wetu kwamba ule Mwamba wa Afrika leo tunao hapa Next Door Arena.
Kilichofata ni Mawe juu ya Mawe, And The Rest is History! Wazungu huwa
VIDEO: