Burnaboy Afanya KUFURU Nyingine..Baada ya Ferarri Sasa Ahamia Kwenye Ndoto ya Diamond Platnumz

FAHAMU : Baada ya kununua gari aina ya Ferarri wiki iliyopita, msanii wa Nigeria *Burnaboy "African Giant" amefanya kufuru nyingine kwa kununua gari mpya ya Rolls Royce, lenye thamani ya pesa za Nigeria M.140 sawa na Sh Mil 888 za Tanzania.

Mwanamuziki wa Tanzania Diamond Platnumz katika mahojiano kadhaa siku za nyuma alikuwa akisema kuwa ipo siku atakuja nunua gari aina ya Rolls Royce lakini mpaka sasa hajaweza fanikisha ndoto hiyo
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad