Canada: Ndege Yaanguka na Kuua Watu Watatu


Watu watau wamepoteza maisha yao nchini Canada baada ya ndege walilokuwa wakisafiria kuanguka katika kisiwa cha Gabriola.

Kwa mujibu wa Shirika la Habari nchini humo (CTV) liliripoti hapo jana, Jumatano hakuna wajeruhi wa ajali hiyo.

Kwa mujibu wa CTV, ndege hiyo ilikuwa imetoka kwenye uwanja wa ndege wa Bishop katika jimbo la California nchini Merikani na kuelekea kwenye uwanja wa ndege wa Nanaimo nchini Canada kabla kuanguka kwake.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad