Chuchu HANS "Hakuna Ndoa Bongo Muvi Tunaigiza tuu"


MWIGIZAJI wa Bongo Muvi, Chuchu Hans amesema, ndoa za kweli hajaziona kwa mastaa hususan wanaotokea Bongo Muvi na ndiyo maana hana papara ya kuolewa.

Akizungumza na Risasi Jumamosi, Chuchu amesema, watu wengi ambao ni mastaa wanaokimbilia kuingia kwenye ndoa na mastaa wenzao, huwa inakuwa ni vigumu mno kutulia.

“Mimi kufunga ndoa mbona bado sana, maana najua ndoa za kweli bado hazijafika Bongo Muvi, bali tunaendelea kuigiza tu, zikifika ndoa za kweli, nitaguswa, lakini kwa sasa bado kabisa,” alisema Chuchu ambaye ni mzazi mwenza wa staa wa Bongo Muvi, Vincent Kigosi ‘Ray’.

Stori: Imelda Mtema
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad