Dada wa Diamond Queen Darleen AULA, Yasemekana Ana Mkwanja wa Kufa Mtu

Fahamu: Habari zinasema Queen Darleen anaishi Kwenye jumba la kifahari Mbezi Beach ikielezwa mume wake huyo hana pesa za mawazo. Nae Sheikh aliyewafungisha ndoa amethibitisha hilo kwa kukaririwa  akisema

“Kwa ambao hamumjui huyu Isihaka hana njaa njaa hata kidogo, yupo vizuri kweli. Mimi mwenyewe kanijengea nyumba kubwa tu tena siyo nyumba ni bonge la mjengo wa thamani kaniweka pale shehe wake nafurahia maisha kwa hiyo msije mkasema ooh kaamua kumuoa Queen Darleen kwa sababu ya umaarufu wa kaka yake Nasibu, hapana,” alisema Shehe Muharami huku akishangiliwa na wageni waalikwa kwenye Maulid ya wanandoa hao

Mke mkubwa nae ametajwa kuwa Kwenye nyumba yake ya kifahari pia

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad