Diamond Platnumz Aongozwa Kuwaniwa Tuzo Nyingi za Soundcity MVP



Waandaji wa Tuzo za Soundcity MVP wametangaza orodha ya wasanii wanaowania vipengele mbalimbali kwenye Tuzo hizo.

Kwa upande wa Tanzania wasanii waliotajwa ni pamoja na DiamondPlatnumz, RayVanny, S2kizzy, Nandy, Harmonize na Marioo.

Diamond Platnumz anaongoza akiwa ametajwa kuwania vipengele sita Ikiwemo Artist Of The Year, Best Male na Best Collaboration kupitia mkwaju wa 'Inama' Ray Vanny anamfata akiwa ametajwa kuwania vipengele 3 ikiwemo kipengele Kikubwa zaidi cha 'Song of The Year', Hii ndio orodha Kamili ya Nominees

Marioo ametajwa kwenye kipengele cha Best New MVP, S2kizzy anawania kipengele cha 'Producer of The Year', Nandy anawania kipengele cha 'Best Female' na Harmonize anawania kipengele cha 'Listeners Choice Award' Swipe Left Kutazama orodha Kamili ya Nominees,

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad