Video: DIAMOND, TANASHA Washuka Kwenye Treni Kuangalia HANDAKI…


Video: DIAMOND, TANASHA Washuka Kwenye Treni Kuangalia HANDAKI…

VIDEO:

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwakweli hii idea ya Bwana Diamond Platnumz ya kutumia train kama burudani, naona isiishie hapo tu, Bali inaweza kuendelezwa ili kuongeza vyanzo vyetu vya utalii. Kama yeye mwenyewe diamond ataendeleza sawa. Kama hataendeleza basi idara husika zingeweza kupokea kijiti. Humo ndani kuwe na ngoma za asili, vyakula asili vilivyopikwwa na kuseviwa na wataalamu wetu walibobea kwenye utalii. Na treni iwafikishe abiria kwenye vyanzo vingine vya utalii kama mbugani, au fukwe za ziwa tanganyika na kuwarudisha. Mtu akilipia tiketi awe amelipia package nzima. Hayo ni maoni tu. Asante.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad